Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa wakati akihitimisha Ziara yake ya Kiserikali Luanda nchini Angola.
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitembelea Makumbusho ya Rais wa kwanza na Muasisi wa Taifa la Angola, Hayati António Agostinho Neto katika eneo la Public Square Jijini Luanda, tarehe 08 Aprili, 2025
WAZIRI MKUU ASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 8, 2025 ameshiriki Kikao cha Kwanza cha Mkutano wa Kumi na Tisa wa Bunge jijini Dodoma.
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa 4 De Fevereiro Luanda kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku 3 nchini Angola tarehe 07 Aprili, 2025
Samia amealikwa na Rais wa Angola Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço na lengo la Ziara hiyo ni kukuza na kuimarisha zaidi mahusiano ya kihistoria na kidugu baina ya Tanzania na Angola.
Soma zaidi »Taswira ya Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Makazi ya Majaji ambayo yamezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Tume ya Utumishi wa Mahakama pamoja na Nyumba za Makazi ya Majaji Mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa kumbukumbu pembezoni mwa Jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania Jijini Dodoma
🔴#LIVE: UZINDUZI WA MAANDALIZI YA MPANGO WA PILI WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI
Usikose! KUsubscribe channel yetu kwa updates #MSLAC #Katibanasheria #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »MBIO ZA MWENGE WA UHURU
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2025 zinabeba kauli mbiu isemayo”Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 kwa Amani na Utulivu” ambayo inalenga kuwakumbusha na kuwasisitiza Watanzania wotekutumia kikamilifu haki yao ya kikatiba ya kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa amani.
Soma zaidi »