DIPLOMASIA

SERIKALI YA TANZANIA YAFANYA MAZUNGUMZO NA MTAALAM WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU HAKI ZA WATU WENYE UALBINO

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amefanya mazungumzo na Mtaalam wa kujitegemea wa masuala ya haki za Watu wenye Ualbino kutoka Umoja wa Mataifa (UN Independent Expert on the Enjoyment of rights by Persons with Albinism), Bi. Muluka-Anne …

Soma zaidi »

USHAWISHI WA TANZANIA DUNIANI UTATEGEMEA NA UBORA WA SERA YA MAMBO YA NJE INAYOREKEBISHWA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu-Zanzibar, Mhe.  Ali Suleiman Ameir akitoa hotuba ya ufunguzi ya Kongamano la Wadau kuhusu kukusanya maoni ya marekebisho ya Sera Mpya ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 lililofanyika Hoteli ya Golden Tulip mjini Zanzibar tarehe 05 Februari 2024. Waziri wa Mambo ya Nje na …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BI JAMIE COOPER

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Bi. Jamie Cooper ambaye ni Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Big Win Philanthropy, Ikulu Chamwino, Dodoma tarehe 2 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Bi. Jamie Cooper …

Soma zaidi »

TANZANIA YAFUNGUA MILANGO KWA MAENDELEO; KUONGEZA UWEKEZAJI WA GESI, KUVUTIA BILIONI 1 ZA UWEKEZAJI, NA USHIRIKIANO NA INDONESIA.

Kuongeza Uwekezaji wa TPDC kwenye Kitalu cha Gesi Mnazi Bay Hatua ya kuongeza hisa za TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay ina lengo la kuimarisha udhibiti wa nchi katika rasilimali za gesi. Kuwa na umiliki mkubwa zaidi kunaweza kuongeza faida kwa Tanzania na kuhakikisha uwiano mzuri wa manufaa kati …

Soma zaidi »