WIZARA YA NISHATI

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI

Na Dorina G. Makaya na Ebeneza Mollel Dar-es-salaam. Waziri wa Nishati, Mhe. January Yusuf Makamba, amewataka watanzania kuchangamkia fursa zitakazotokana na ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania ili kujiongezea kipato na utaalam kwani sehemu kubwa ya bomba linapita nchini Tanzania. Waziri Makamba ameyasema …

Soma zaidi »

MRADI WA UMEME RUSUMO KUUNGANISHA MIKOA YA KAGERA, KIGOMA, RUKWA NA KATAVI KWENYE GRIDI YA TAIFA – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mradi wa kuzalisha umeme wa kikanda wa Rusumo utakuwa mkombozi kwa wananchi wa mikoa ya Kagera, Kigoma , Rukwa na Katavi kwani utazalisha umeme wa uhakika utakaowezesha Mikoa hiyo kuunganishwa na  gridi ya taifa. Mradi huo unaotekelezwa kwa kuzingatia makubaliano ya Kiserikali ya nchi za …

Soma zaidi »

WAKANDARASI WASISITIZWA KUHESHIMU MIKATABA

Veronica Simba – Tabora Serikali imewataka Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini nchini kote kuheshimu makubaliano ya utendaji kazi yaliyoafikiwa baina ya pande hizo mbili kupitia mikataba waliyosaini. Wito huo ulitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo wakati akizungumza na Wakandarasi wanaotekeleza miradi hiyo Mkoa …

Soma zaidi »