WIZARA YA KILIMO

SEKTA YA KILIMO TANZANIA: NGUZO YA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII

Nchini Tanzania, Sekta ya Kilimo ni msingi wa maendeleo ya uchumi na ustawi wa jamii. Sekta hii ina mchango mkubwa katika pato la Taifa, biashara ya nje, na utoaji wa fursa za ajira kwa wananchi. Mchango wa Sekta ya Kilimo Sekta ya kilimo ni nguzo muhimu ya uchumi wa Tanzania, …

Soma zaidi »

Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.

Soma zaidi »

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YATOA ELIMU YA CHANJO KWA WAFANYAKAZI WA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB)

Serikali imeandaa mpango wa jamii shirikishi na harakishi wa utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO – 19 kwa kuwafuata wananchi wanaohitaji huduma ya chanjo mahali walipo ili kuongeza kasi na kuwapa wananchi nafasi ya kuchanja. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt.  Rashid …

Soma zaidi »

BANDARI YA MTWARA KUTIMIKA KUSAFIRISHA KOROSHO – WAZIRI MKENDA

Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda pamoja na Naibu Waziri, Hussein Bashe wakiwa wameongozana na viongozi wengine wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakikagua utayari wa bandari ya Mtwara kuelekea kuanza msimu wa uuzwaji wa korosho ambao unatarajiwa kuanza hivi karibuni wakati wa ziara ya Waziri Mkenda bandarini hapo, …

Soma zaidi »