UCHUMI

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maonesho ya NaneNane kwenye viwanja vya Nzuguni, Dodoma

Leo, 8/08/2024 tunasherehekea kilele cha Maonesho ya NaneNane katika viwanja vya Nzuguni, Dodoma, ambapo Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiye mgeni rasmi. Siku hii muhimu inatupa fursa ya kutambua na kusherehekea mchango wa wakulima na wafugaji katika maendeleo ya taifa letu. #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC

Soma zaidi »

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua kiwanda kipya cha sukari kilichopo Mkulazi-Mbigiri

Kiwanda hiki kinatarajiwa kuongeza uzalishaji wa sukari nchini, kupunguza utegemezi wa sukari ya nje, na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Uzinduzi wa kiwanda hiki pia utatoa ajira kwa wananchi wa eneo hilo na kuongeza mapato ya taifa kupitia uzalishaji wa ndani. Tukio hili linaonyesha juhudi za serikali za …

Soma zaidi »

USHINDANI KATIKA UZALISHAJI, CHACHU YA UKUAJI WA UCHUMI NA MAENDELEO YA KILIMO NCHINI TANZANIA

Kila mkoa unajivunia uzalishaji wa mchele bora kuliko mkoa mwingine inaashiria ushindani mzuri katika sekta ya kilimo nchini Tanzania. Kwa mtazamo wa kiuchumi na uzalishaji, ushindani huu una faida kadha, Kuongeza Ufanisi wa Uzalishaji. Ushindani kati ya mikoa unaweza kuhamasisha wakulima kuboresha mbinu zao za kilimo, kutumia mbegu bora zaidi, …

Soma zaidi »

Uzinduzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mtibwa, Rais Samia Aimarisha Sekta ya Kilimo na Uzalishaji wa Sukari Nchini

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, tarehe 03 Agosti, 2024. Uzinduzi …

Soma zaidi »

Shukrani za Madeleva Bajaji kwa Rais Samia na Serikali kwa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR

Morogoro, Tanzania – Madeleva bajaji wa mkoani Morogoro wameeleza shukrani zao za dhati kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali kwa ujumla kwa juhudi kubwa za ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR. Reli hii, ambayo imekuwa mojawapo ya miradi mikubwa ya maendeleo nchini, imeleta manufaa mengi kwa wananchi na …

Soma zaidi »

MACHINGA MKOANI MOROGORO WASIMAMA NA RAIS KATIKA UJENZI WA TAIFA DHIDI YA WAPINGA MAENDELEO YA NCHI

Wafanyabiashara ndogo ndogo (Machinga) mkoani Morogoro wameonyesha mshikamano wao na Rais Samia Suluhu Hassan katika juhudi za kujenga taifa. Wamejitokeza kwa wingi kuunga mkono miradi ya maendeleo na sera za serikali, wakikemea vikali wale wanaopinga juhudi za kuleta maendeleo nchini. Machinga hao wamesisitiza kuwa wako tayari kushirikiana na serikali katika …

Soma zaidi »