MKOA WA PWANI

NAIBU WAZIRI KUNDO – SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (ICT) – Mhe. Mhandisi. Andrea Mathew Kundo amemwagiza Mkuu wa Kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kanda ya Mashariki kushughulikia haraka maombi ya Halmashauri ya Chalinze ya kuimarisha MIundombinu ya mawasiliano ikiwemo kupatiwa kibali cha Masafa ya radio (radio frequency) na …

Soma zaidi »

RIDHIWANI KIKWETE AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI KWA UJENZI WA LAMBO LA MIFUGO KIJIJI CHA CHAMAKWEZA -VIGWAZA

Na. Andrew Chale, Chalinze Mbunge Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutoa fedha za ujenzi wa lambo kubwa kwa ajili ya mifugo ndani ya Kijiji cha Chamakweza Kata ya Vigwaza katika Halmashauri ya Chalinze, lililogharimu Tshs. Milioni 700. Mbunge amebainisha hayo jana …

Soma zaidi »

HALMASHAURI YA CHALINZE YAKABIDHI VITI-MWENDO 10 KWA WATOTO WENYE ULEMAVU

Halmashauri ya Chalinze yakabidhi Viti-Mwendo 10 kwa watoto wenye Ulemavu. Akizungumza kwenye makabidhiano hayo Mbunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete amewashukuru watendaji wa Halmashauri kwa utekelezaji wa maagizo yanayotolewa kwenye vikao. Mbunge Kikwete amepongeza hatua hiyo ya kufikia malengo ya Serikali ya kuhakikisha kila …

Soma zaidi »

MBUNGE RIDHIWANI KIKWETE AMPONGEZA NA KUMSHUKURU FLAVIANA MATATA KWA KUSAIDIA SEKTA YA ELIMU CHALINZE

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amempongeza na kumshukuru Mwanamitindo wa Kimataifa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Flaviana Matata, Bi.Flaviana Matata kwa kujitoa kwake kusaidia masuala ya elimu ndani ya Jimbo hilo. Awali akizungumza wakati wa kutoa shukrani zake kwa mwanamitindo huyo, Mbunge Ridhiwani Kikwete alisema wameupokea kwa mikono …

Soma zaidi »

HALMASHAURI YA CHALINZE MKOANI PWANI YATEKELEZA MAAGIZO YA WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Halmashauri ya Chalinze mkoani Pwani imetekeleza maagizo ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa kutengeza madawati 355, meza na viti 221, huku Mbunge wa Jimbo hilo Ridhiwani Kikwete akichangia shilingi milioni 3.67. Akizungumza wakati wa kupokea madawati hayo zoezi lilofanyika Mioni Wilayani Bagamoyo, Mbunge Kikwete amesema kuwa madawati hayo ni kwaajili …

Soma zaidi »

UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA WAFIKIA ASILIMIA 98 – WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mradi wa ujenzi wa kivuko kipya cha Mv. Kilindoni Hapa Kazi Tu kitakachokuwa kinafanya safari kati ya kisiwa cha Mafia na Nyamisati umefikia asilimia 98 na kwamba ifikapo Desemba 15 mwaka huu kitaingia majini kwa mara ya kwanza. ’’Wana-Mafia tumekuwa tukizungumza sana sasa tumefikia hatua …

Soma zaidi »

MBUNGE WA CHALINZE RIDHIWANI KIKWETE AKUTANA NA WANANCHI WA KATA YA BWILINGU NA KUTEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete akizungumza na wananchi wa Bwilngu Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara yake jimboni hapo kwa kutembelea na kuzungumza na wananchi wa Kata ya Bwilingu. Akizungumza katika kueleza nia ya ziara hiyo amesema kuwa dhamira ya ziara hiyo …

Soma zaidi »