Tanzania

“Bora uitwe mshamba, lakini usimamie maadili.” Mhe. Dotto Biteko

“Kwa kukuza misingi ya uaminifu, haki, uadilifu, uwajibikaji, umoja wa kijamii, na ustawi endelevu, tutahakikisha kuwa safari ya maendeleo ya Tanzania inabaki imara katika maadili yetu ya thamani.” Mhe. Biteko alihimiza umuhimu wa maadili haya kama msingi wa mustakabali bora wa Tanzania​

Soma zaidi »

HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA JUKWAA LA USHIRIKIANO FOCAC

Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliohudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mnamo Septemba 5, 2024, jijini Beijing, umeleta fursa muhimu kwa Tanzania kiuchumi na kijamii. Manufaa Kiuchumi: Uwekezaji katika Miundombinu: Kupitia FOCAC, Tanzania imepata fursa ya …

Soma zaidi »

Makamu wa Rais katika kilele cha Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kanisa la New Life Outreach iliyofanyika katika kanisa hilo Sakina mkoani Arusha

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Ofisi ya Msajili wa Jumuiya, kusimamia kikamilifu Sheria ya Usajili wa Jumuiya pamoja na kanuni zake ili kuhakikisha kuwa Taasisi zinazosajiliwa zikiwemo za kidini …

Soma zaidi »

DKT. TULIA ASISITIZA UMUHIMU WA USALAMA DUNIANI NA MAENDELEO YA PAMOJA

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa upo umuhimu mkubwa wa nchi mbalimbali hususani zile zinazounda Umoja wa G7 kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika kutafuta usalama duniani na maendeleo ya pamoja na kwamba …

Soma zaidi »