Tanzania MpyA+

SERIKALI KUFANYA SENSA YA NYUMBA NA MAJENGO

Na Munir Shemweta, DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Serikali iko katika maandalizi ya kufanya sensa ya nyumba na majengo kote nchini. Sensa hiyo itafanyika sanjari na Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mwezi Oktoba, 2022. Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA AHIMIZA KASI HATUA YA PILI YA UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA BIDHAA ZA NGOZI KILIMANJARO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akiwa ameogozana na Viongozi mbalimbali wanaosimamia Ujenzi wa kiwanda hicho cha Kilimanjaro International Leather Industries Co. Ltd alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya kiwanda hicho cha kutengeneza viatu sambamba na …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AWAAGIZA WATUMISHI WA WIZARA HIYO KUACHA KUFANYAKAZI KWA MAZOEA

Na. Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewaagiza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuhakikisha Serikali inapata mafanikio makubwa Zaidi ya kukuza uchumi wan chi na kuboresha maisha ya wananchi. Alitoa …

Soma zaidi »