Taarifa Vyombo vya Habari

WAZIRI NAPE AANZA ZIARA KUKAGUA MWENENDO WA OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye leo ameanza ziara ya kukagua na kuhamasisha utekelezaji wa Operesheni ya Anwani za Makazi katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza ziara hiyo jijini Dodoma, Waziri Nape amesema tathmini inaonesha utekelezaji …

Soma zaidi »

DKT. YONAZI AMELIKUMBUSHA JESHI LA POLISI WAJIBU WA KUJIFUNZA NA KUTOA ELIMU YA USALAMA MTANDAO

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini (DCI) CP Camilius Wambura akizungumza wakati wa mafunzo ya Usalama Mtandao kwa Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa, Wakuu wa Vikosi na Wakuu wa Madawati ya Upelelezi wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani), yaliyofanyika leo tarehe 21 Machi 2022, jijini Dodoma. Katibu Mkuu …

Soma zaidi »

PROF MKENDA ATAKA MIKAKATI UBANGUAJI KOROSHO KUFIKIA 60% IFIKAPO 2025

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amewataka wabanguaji zao la korosho kuja na mikakati  itakayowezesha zoezi hilo kufikia asilimia 60 au 100 ifikapo mwaka 2025. Waziri Mkenda ameyasema hayo mjini Mtwara wakati akizungumza na wadau wa ubanguaji Korosho kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Benki …

Soma zaidi »

DKT. KIJAJI AIKUMBUSHA MENEJIMENTI YA WIZARA YAKE KUTEKELEZA WAJIBU

Prisca Ulomi na Faraja Mpina, DODOMA Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu kijaji ameitaka Menejimenti na watumishi wa Wizara yake itambue kuwa lengo na dhumuni la kuundwa kwa Wizara hiyo ni kuwatumikia wananchi kwa kutekeleza kile kilichoelekezwa kwenye Ilani ya CCM ya 2020-2025 kwa kuzisoma …

Soma zaidi »