MAZINGIRA

KONGAMANO LA WADAU KUHUSU UPATIKANAJI WA RASILIMALI ZA KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI LAZINDULIWA

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akiteta jambo na Mkurugenzi wa REPOA Dkt. Donald Mmari (kushoto) mara baada ya kufungua Kongamano la Wadau wa Kitaifa kuhusu upatikanaji wa Rasilimali za kusaidia utekelezaji wa Mikakati ya Taifa ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi hii leo katika ukumbi …

Soma zaidi »

SERIKALI KUFANYA UPEMBUZI YAKINIFU KATIKA ZIWE JIPE

Serikali imeelekeza wataalamu wa mazingira kufika katika Ziwa Jipe wilayani Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro na kufanya upembuzi yakinifu utakaosaidia kuyaondoa magugu maji yaliyozingira ziwa hilo. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande Chande ametoa maelekezo hayo Septemba 20, 2021 alipofanya ziara ya kikazi …

Soma zaidi »

WAZIRI JAFO ATAKA MACHINJIO YA KISASA YA KIZOTA KUREKEBISHA CHANGAMOTO ZAO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameupa uongozi wa machinjio ya kisasa ya Kizota jijini Dodoma miezi sita kurekebisha changamoto ya utiririshaji wa majitaka ovyo. Jafo ametoa agizo hilo leo Aprili 8, 2021 alipofanya ziara ya kikazi katika machinjo hiyo kwa ajili …

Soma zaidi »