MKOA WA ARUSHA

WAZIRI MKUU AWAONYA WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa onyo kali kwa wataalamu wa ununuzi na ugavi ambao bado wanaendekeza vitendo viovu kama rushwa, upendeleo, kuingilia michakato ya ununuzi kwamba waache mara moja kwani Serikali haitomhurumia yeyote atakayebainika kujihusisha na vitendo hivyo. Waziri Mkuu ametoa onyo hilo leo (Jumatano, Desemba 2, 2020) alipofungua Kongamano …

Soma zaidi »

RAIS MSTAAFU DKT. KIKWETE AMEWATAKA VIJANA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUZICHANGAMKIA FURSA ZILIZOPO

Rais Mstaafu ,Dkt Jakaya Kikwete  amewataka vijana wa jumuiya ya Afrika Mashariki kuhakikisha  wanashiriki kikamilifu katika jumuiya ya Afrika mashariki na kuweza kuzichangamkia fursa zilizopo.Aliyasema hayo jana wakati akifungua mkutano wa vijana wa jumuiya ya Afrika mashariki (YouLead)uliofanyika  mkoani Arusha. Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akipiga selfie na Vijana na …

Soma zaidi »

SERIKALI KUIIMARISHA TRC KWA KUNUNUA MABEHEWA MENGINE 800 YA MIZIGO, 37 YA ABIRIA NA VICHWA 39 VYA TRENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wa Arusha na Kilimanjaro akikata utepe kuashiria uzinduzi wa huduma ya usafiri wa Treni ya Abiria ya Shirika la Reli TRC kutoka Dar es Salaam hadi Arusha katika hafla fupi iliyofanyika katika Stesheni …

Soma zaidi »

WAZIRI KIGWANGALLA AKUTANA NA WAWAKILISHI WA WANANCHI KUJADILI UANZISHWAJI WA PORI LA AKIBA NA WMA YA ZIWA NATRON

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza wakati wa kikao cha kujadili uanzishwaji wa Pori la Akiba na WMA ya Ziwa Natron kikao kilichowahusisha wawakilishi wa wananchi, viongozi wa mila wa kabila la Masai na viongozi wa serikali wa wilaya ya Longido. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd …

Soma zaidi »