MKOA WA DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa,Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na viongozi mbalimbali na wageni waalikwa katika hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwaajili ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba wakati wa ziara yake nchini Tanzania. Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 24 Januari 2024.Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Makamu wa Rais wa Cuba Mhe. Salvador Valdés Mesa,Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na viongozi mbalimbali na wageni waalikwa katika hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwaajili ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Cuba

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AZITAKA TPA, TRA, TASAC NA EGA ZIFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania, Mamlaka ya Bandari Tanzania na Mamlaka ya Serikali Mtandao kufanya kazi kwa ushirikiano ili kuboresha utendaji wa Bandari ya Dar es Salaam Ameyasema hayo (Jumatano, Mei 12, 2021) alipotembelea bandari ya Dar es Salaam ili kuona utendaji wa bandari hiyo. “TPA …

Soma zaidi »

DAR ES SALAAM SASA WANAJARIBU MAJI, WANAJARIBU KINA CHA MAJI – RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Viongozi wa Kidini, Viongozi Wakuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa katika ukumbi wa Mlimani City kabla ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohutubia Wazee wa …

Soma zaidi »