WIZARA YA MADINI

WAZIRI BASHUNGWA AMEAGIZA KUSITISHWA UTOAJI WA LESENI ZA UCHIMBAJI MAKAA YA MAWE, AMEELEKEZA TIMU MAALUM KUCHUNGUZA MIKATABA

Na Eliud Rwechungura – Wizara ya Viwanda na biashara Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza katibu Mkuu wa wizara ya viwanda na Biashra Prof. Riziki Shemdoe kusitisha utoaji leseni mpya ya uchimbaji wa makaa ya mawe kwa kampuni ya TANCOAL ENERGY LIMITED na ameagiza timu maalum kuchunguza …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI NYONGO: MIGOGORO YA WACHIMBAJI KUTATULIWA KISHERIA

Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo mwenye Koti akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa vikundi 14 Kwahemu Daudi Elia akitoa maelezo ya uchimbaji kwenye eneo la machimbo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Imeelezwa kuwa, utatuzi wa migogoro ya wachimbaji wadogo wa madini hutatuliwa kwa kufuata Sheria na taratibu zinazosimamia sekta ya …

Soma zaidi »