Na Munir Shemweta, ILEMELA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Wizara ya Ardhi kuanzia tarehe 1 Julai 2021 itaanza zoezi la uhakiki la kitaifa kuwatambua na kuwaondoa wamiliki wote hewa wa viwanja nchini. Lukuvi alisema hayo kwa nyakati tofauti tarehe 4 Machi 2021 katika ofisi …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AAMURU KUFUTWA HATI YA ARDHI NA KUSHUSHA NEEMA KWA WAKAZI WA MHANDU NYAMAGANA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameshusha neema kwa wakazi wa kata ya Mhandu katika halmashauri ya manispaa ya Nyamagana mkoa wa Mwanza kwa kuamuru kuondolewa katika daftari Hati ya kitalu Na 153 eneo hilo na kupatiwa wananchi 74 waliokuwa katika mgogoro. Akitoa uamuzi huo tarehe …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AAGIZA MAENEO YA MRADI WA KIMKAKATI KUPANGWA
Na Munir Shemweta, Misungwi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameitaka halmashauri ya wilaya ya Misungwi mkoa wa Mwanza kuhakikisha inapanga na kupima maeneo yanayopitiwa na miradi ya kimkakati ya treni ya Mwendokasi (SGR) na Kivuko cha Kigongo katika halmashauri hiyo mkoani Mwanza. Akizungumza wakati wa …
Soma zaidi »UTAMBUAJI WAMILIKI WA MAJENGO UENDE SAMBAMBA NA WADAIWA KODI YA ARDHI – NAIBU WAZIRI DKT MABULA
Na Munir Shemweta, WANMM SONGWENaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametaka zoezi la utambuzi wa wamiliki wa nyumba liende sambamba na kutambua viwanja visivyolipiwa kodi ya pango la ardhi. Dkt Mabula alitoa kauli hiyo tarehe 22 Februari 2021 wakati akizungumza na wakurugenzi wa halmashauri …
Soma zaidi »DKT MABULA AZINDUA KAMPENI YA KODI YA ARDHI
Na Munir Shemweta, WANMM Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezindua Kampeni Maalum ya kuhamasisha ulipaji kodi ya Pango la Ardhi yenye kauli mbiu inayosema MWAMBIE MMILIKI WA ARDHI, KODI YA PANGO LA ARDHI INAMHUSU. Katika kampeni hiyo, Maafisa Ardhi na Wajumbe wa Serikali …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AWABANA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUONGEZA KASI UTOAJI HATI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka Watendaji wote wa sekta ya ardhi katika halmashauri kushiriki zoezi la kuandaa hati za ardhi ili kuongeza kasi ya utoaji hati katika maeneo mbalimbali nchini. Dkt Mabula ametoa agizo hilo mwishoni mwa wiki alipozungumza na wataalamu wa …
Soma zaidi »SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUCHUKUA ARDHI BILA KULIPA FIDIA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amepiga marufuku halmashauri, Taasisi na Watu binafsi kuchukua maeneo ya wananchi bila kulipa fidia. Akizungumza hivi karibuni mkoani Singida wakati wa ziara yake ya kikazi katika mkoa huo, Lukuvi alisema kumekuwa na tabia ya baadhi ya halmashauri na Taasisi …
Soma zaidi »KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI, MALIASILI NA UTALII JIJINI DODOMA
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini Dodoma. Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha …
Soma zaidi »WIZARA YA ARDHI KUANZA UHAMASISHAJI UTEKELEZAJI MPANGO KABAMBE JIJI LA DODOMA
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajiwa kuanza utekelezaji Mpango Kabambe wa jiji la Dodoma kwa kuanza kuhamasisha wananchi wa kata za Mpunguzi na Matumbulu kufanya maendeleo kwa kuzingatia mpango huo. Timu ya Wataalamu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI ATAKA WATENDAJI WA MITAA KUSIMAMIA ARDHI
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanashusha usimamizi wa masuala ya ardhi kwa watendaji wa mitaa na vijiji na sio kwa wenyeviti wa mitaa na vijiji kama ilivyo sasa ili kuepuka migogoro ya ardhi, ujenzi holela na kurahisisha ufuatiliaji …
Soma zaidi »