Na Haya Ni Maboresho Makubwa katika Sekta ya Afya Nchini Tanzania

Nchi yetu inajivunia hatua kubwa tunazoendelea kupiga kwenye eneo hili ambapo pamoja na maboresho na ujenzi, sasa kila Hospitali ya Rufaa ya Kanda inatoa huduma ya MRI na kila Hospitali ya Rufaa ya Mkoa inatoa huduma ya CT scan.

Shukrani hizi toka mkoani Kagera kutokana na maboresho makubwa yanayoendelea katika sekta ya afya mikoa mbalimbali nchini si zangu na Serikali pekee, bali ni za kila Mtanzania popote pale alipo anayechapa kazi kuifanya nchi yetu kuwa bora zaidi.

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) katika eneo la Kigongo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *