Serikali imezindua rasmi mifumo ya kidijitali kwenye taasisi za umma ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi, kuongeza ufanisi, na kupunguza urasimu. Hatua hii inachukuliwa kama sehemu ya jitihada za serikali za kuendana na maendeleo ya kiteknolojia na kuweka mazingira bora ya utawala wa kisasa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, aliongoza …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: September 5, 2024
Hatua Madhubuti za Kuboresha Miundombinu ya Barabara katika Hifadhi ya Serengeti, Kukuza Utalii
TANAPA inastahili pongezi kwa hatua zake za kuboresha barabara za Serengeti kwa ufanisi zaidi, hatua ambazo zinaonyesha kujitolea kwake katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira na maendeleo ya sekta ya utalii. Wadau wa utalii walikuwa na maombi ya muda mrefu kwa serikali kujenga barabara zenye tabaka gumu, ambayo sasa inashughulikiwa kwa …
Soma zaidi »Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewasili Verona, nchini Italia ambako anatarajia kushiriki katika Mkutano wa 22 wa Maspika wa Mabunge ya nchi za G7
Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika nchini humo kuanzia tarehe 5 hadi 8 Septemba, 2024. Mhe. Dkt. Tulia ataiwakilisha IPU katika Mkutano huo ambapo ujumbe mkuu atakaouwasilisha ni umuhimu wa ushirikiano wa Kimataifa miongoni mwa nchi zote duniani katika kutekeleza na kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu kwa pamoja.
Soma zaidi »