Maktaba ya Kila Siku: September 18, 2024

4R NI HATUA MUHIMU KATIKA KUKUZA SEKTA YA ELIMU NCHINI.

Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama, iliyopo jimbo la Peramiho, imeendelea kuleta maendeleo makubwa kwa wakazi wa eneo hilo na Tanzania kwa ujumla. Ujenzi wa shule hii ulianza mwaka 2020 na hadi sasa ina jumla ya majengo 126, yakiwemo madarasa 34, maabara 4 za sayansi, maktaba, bwalo, na jengo la …

Soma zaidi »

Ni kwa namna gani falsafa ya 4r inalinda utamaduni wetu wa kitanzania 

Falsafa ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, na Rebuilding) inalenga kuimarisha umoja wa kitaifa na kufufua maadili ya kitanzania, ambayo yanajumuisha utamaduni, lugha, na desturi zetu.  Kwa njia ya maridhiano (reconciliation), 4R inasaidia kurejesha mshikamano wa jamii, ikisisitiza mazungumzo na amani.  Uhimilivu (resilience) unahimiza uvumilivu wa jamii yetu kwa kushikilia mila …

Soma zaidi »

NI KWA NAMNA GANI 4R INAGUSA MAENDELEO YA SIASA NCHINI TANZANIA?

 Falsafa ya 4R  inagusa siasa chanya kwa namna inavyoweza kuleta maendeleo, usawa, na utulivu katika jamii. Katika muktadha wa siasa za Tanzania, falsafa hii inashikilia mizizi muhimu ya utamaduni na desturi za taifa, huku ikiwiana na baadhi ya vifungu vya Katiba ya Tanzania. Hii ni kutokana na msingi wake wa kuendeleza ushirikiano …

Soma zaidi »