Maktaba ya Kila Siku: September 25, 2024

“Tuendelee Kufanya Kazi Na Kuitunza Amani Ya Nchi Yetu.” Mhe. Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan

Katiba ya Tanzania, katika Ibara ya 8(1)(a), inatambua kwamba wananchi ndio msingi wa mamlaka yote ya nchi. Hii inamaanisha kuwa amani na utulivu wa nchi ni jukumu la kila mwananchi. Kwa kutunza amani, wananchi wanatimiza wajibu wao wa kikatiba wa kuhakikisha nchi inasalia katika hali ya utulivu na usalama. Katiba …

Soma zaidi »

Shamba La Kahawa La Aviv, Moja Ya Uwekezaji Mkubwa Wa Ukulima Wa Kahawa Nchini.

‘Katika ziara yangu ya kikazi mkoani Ruvuma, leo nimetembelea shamba la Kahawa la Aviv, moja ya uwekezaji mkubwa wa ukulima wa kahawa nchini. Nimeagiza kuendelea kuhakikisha teknolojia inayotumika kwa ufanisi kwenye uwekezaji wa aina hii itumike pia katika kuwapa ujuzi wananchi ili washiriki kikamilifu katika fursa zilizopo. Mbali na ajira, …

Soma zaidi »