Maktaba ya Kila Siku: October 14, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio hizo Ndugu Godfrey Eliakim Mzava kwenye Kilele cha Maadhimisho Mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza

#KaziIemdelee #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC

Soma zaidi »

LAND ROVER YA MBAO YA WADUDU WA CHUGA YAVUTIA WENGI

Land Rover ya Wadudu wa Chuga imevutia umati mkubwa kwenye #ArushaLandRoverFestival2024. Tukio hili lilifanyika kuadhimisha urithi wa kipekee wa Land Rover na mchango wake katika sekta ya magari duniani. Land Rover maarufu ya “Wadudu wa Chuga,” gari la kipekee linalotumiwa na wenyeji wa maeneo ya Arusha, liliwashangaza wengi kutokana na …

Soma zaidi »

Tanzania imekuwa ikifanya maendeleo makubwa katika miradi ya nishati ili kuongeza uzalishaji wa umeme na kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya uhakika.

Mradi wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP): Ujenzi wa mradi huu wa kuzalisha MW 2,115 umekamilika kwa zaidi ya asilimia 85. Unatarajiwa kuongeza upatikanaji wa umeme na kuchangia zaidi ya MW 2,100 kwenye gridi ya taifa, hivyo kuzalisha umeme wa kutosha kwa nchi nzima. Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi …

Soma zaidi »

Kheri ya siku ya kumbukizi Miaka 25 toka kifo cha Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

Tuendelee kuenzi Matokeo chanyA+ ya juhudi zake za kujenga umoja, amani, na maendeleo kwa taifa letu. Umoja ni nguvu, tukumbuke daima mafunzo yake kwa mustakabali wa Tanzania iliyo bora. #KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC

Soma zaidi »