WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KONGAMANO LA JUMUIYA YA WAISLAMU WA SHIA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 10, 2024 amemuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Mkuu na Kongamano la Umuhimu wa Amani kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

Kongamano hilo linaloratibiwa na Jumuiya ya Waislamu wa SHIA Tanzania, lilofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, tarehe 01 Novemba 2024 ameungana na kuongoza Waombolezaji Katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo,jijini Dar-es-Salaam, kuaga mwili wa marehemu Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali David Bugozi Musuguri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *