“Uzalendo ni msingi wa maendeleo ya taifa letu. Ni lazima kila Mtanzania apende na kuthamini nchi yake kwa vitendo, kwa kuilinda, kuitetea, na kuhakikisha tunaacha alama bora kwa vizazi vijavyo. Kama Watanzania, tunao wajibu wa kuendeleza nchi yetu kwa umoja na mshikamano. Uzalendo si maneno tu, ni vitendo vya kila siku tunavyofanya kwa ajili ya ustawi wa taifa letu.”
@SuluhuSamia Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Ad
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Ad