(4R) Falsafa hizi nne zinalenga kuimarisha umoja, kuleta ustawi na maendeleo ya kudumu kwa taifa, na kuhakikisha kuwa serikali inawajibika kwa wananchi wake. 1.Maridhiano (Reconciliation) Hii inahusu juhudi za kuleta amani na umoja katika jamii kwa kusuluhisha tofauti na migogoro iliyopo. Lengo ni kuimarisha mshikamano wa kitaifa na kuhakikisha kuwa …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Meli tatu za kivita za Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China zimewasili katika Bandari ya Dar es Salaam zikiwa na wanajeshi kadhaa kwa ajili ya kushiriki mazoezi ya pamoja na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikiwa ni sehemu maadhimisho miaka 60 ya Jeshi hilo na ushirikiano kati ya Nchi ya Tanzania na China tangu kuanzishwa kwake.
Akizungumza Julia 24, 2024 katika Bandari ya Dar es Salaam wakati akipokea Meli tatu za Jeshi la Ukombozi wa Watu wa China, Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Wanamaji Tanzania NAVY, Rear Admiral Ameir Ramadan Hassan, amesema kuwa ujio wa meli hizo kutoka Jamhuri ya Watu wa China ni sehemu …
Soma zaidi »Katika siku hii ya Mashujaa, tunawakumbuka na kuwaenzi wale wote waliotangulia mbele kwa ajili ya Taifa letu. Heri ya Siku ya Mashujaa kwa Watanzania wote!
Tujivunie historia yetu, tuendeleze uzalendo, na tuijenge Tanzania imara kwa pamoja. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
SERIKALI IMEONESHA JITIHADA KUBWA KATIKA KUBORESHA SEKTA YA ELIMU..
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 23, 2024 ni mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Wiki Maadhimisho ya Wiki ya Sekta Binafsi inayofanyika katika ukumbi wa The Super Dome, Masaki jijini Dar es Salaam.
Falsafa hizi nne (4R) zinalenga kuimarisha umoja, kuleta ustawi na maendeleo ya kudumu kwa taifa, na kuhakikisha kuwa serikali inawajibika kwa wananchi wake
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »WITO WA RAIS SAMIA KWA MACHIFU, KUIGA UONGOZI WA CHIFU HANGAYA KWA MAENDELEO YA JAMII
Rais Samia anaonyesha imani na matumaini yake kwa machifu, akiamini kwamba wana uwezo wa kuongoza vyema maeneo yao. Hii inaashiria heshima na kuthamini mchango wa machifu katika jamii. Rais anamtaja Chifu Hangaya kama kielelezo cha uongozi bora. Hii inaonyesha kwamba Chifu Hangaya ana sifa na mafanikio ambayo machifu wengine wanapaswa …
Soma zaidi »UWEKEZAJI KWENYE SEKTA YA UTALII
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeunga mkono agenda za Shirika la Utalii Duniani (UN Tourism) kuhusu uwekezaji wa kimkakati katika rasilimali watu kwenye elimu na ujuzi pamoja na agenda ya usalama wa maeneo ya utalii lengo likiwa ni kuibadilisha Afrika kwa siku zijazo kupitia ujuzi wa elimu na …
Soma zaidi »