Maridhiano yamewezesha kurejesha mahusiano yaliyovunjika. yamejenga daraja la uelewa, imani, na mawasiliano mazuri, hivyo yameimarisha uhusiano kati ya viongozi wa vyama vyote vya Siasa. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #BarazaLaVyamaVyaSiasa #KaziIendelee pic.twitter.com/3mRf2AWdyG— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024 Kujenga Jamii Iliyostahimilivu: Kupitia mageuzi, jamii inaweza kujenga uwezo wa kustahimili changamoto za kisiasa, kiuchumi, …
Soma zaidi »4R’s za Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
4R’s za Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ni muongozo wa jinsi siasa za taifa hili zinapaswa kufanywa. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani Mkutano wa Baraza la vyama vya Siasa 03/01/2024 pic.twitter.com/Cazsh938mA— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 3, 2024
Soma zaidi »MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
DEMOKRASIA”Mjadala kuhusu Uelewa wa 4R’s (Reconciliation (Maridhiano), Reform (Mageuzi), Rehabilitation. (Kurejesha hali ya kawaida), and Rebuilding (kujenga upya). MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASADEMOKRASIA”Mjadala kuhusu Uelewa wa 4R’s (Reconciliation (Maridhiano), Reform (Mageuzi), Rehabilitation. (Kurejesha hali ya kawaida), and Rebuilding (kujenga upya). #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani “TOA MAONI YAKO, KUIMARISHADEMOKRASIA". pic.twitter.com/P3HUnfkQF4— Matokeo …
Soma zaidi »FALSAFA YA 4R’s YA RAIS Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN
RAIS Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN alianzisha falsafa ya 4R’s (Reconciliation-Maridhiano, Resilience – Uthabiti, Reforms – Mageuzi naRebuilding- Ujenzi Upya,) ili kudumisha amani,utulivu na kushughulikia masuala ya siasa, kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini. RAIS Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN alianzisha falsafa ya 4R’s (Reconciliation-Maridhiano, Resilience – Uthabiti, Reforms – Mageuzi …
Soma zaidi »NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI, KUHUSU USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Soma zaidi »Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.
18 FEB 2023 MAKABIDHIANO YA UENYEKITI WA AU
Rais wa Comoro, Azali Assoumani, alichukua nafasi ya uenyekiti wa Umoja wa Afrika kutoka kwa Rais wa Senegal Macky Sall kama urais wa zamu wa umoja huo. “Shirika letu limethibitisha kwa ulimwengu imani yake kwamba nchi zote zina haki sawa,” amesema Rais Azali.
Soma zaidi »RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI, WIZARA YA MAMBO YA NJE YA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuagana na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri …
Soma zaidi »