Matokeo ChanyA+

Mchango wa Tamasha la Tatu la Utamaduni Kitaifa kwa Maendeleo ya Kiuchumi, Kijamii, na Kitamaduni kwa Watanzania 

Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika mkoani Ruvuma ni tukio muhimu linaloleta mchango mkubwa kwa Watanzania kwa njia mbalimbali, kama ifuatavyo: Kuhifadhi na Kukuza Utamaduni Tamasha hili linaongeza uelewa na kuthamini tamaduni za makabila mbalimbali ya Tanzania. Hili ni muhimu kwa kuendeleza na kuhifadhi mila na desturi ambazo …

Soma zaidi »

“UKIMYA WANGU SIO UJINGA, SITAKUWA NA MUHALI KWA YEYOTE ANAYETAKA KUVURUGA AMANI YETU”

“Hatutaruhusu mtu yeyote kuchafua mazingira ya amani na utulivu ambayo yamejengwa kwa miaka mingi. Tutalinda nchi yetu kwa nguvu zote na kuhakikisha kuwa Katiba ya Tanzania inaheshimiwa na kufuatwa na kila mmoja,” ‪@samiasuluhu99‬ Rais Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania

Soma zaidi »

“Hakuna Wa Kutupangi Nini Cha Kufanya ndani ya Nchi Yetu, Tuna Katiba, Sheria Na Miongozo Yetu”

( Vienna Convention on Diplomatic Relations) Ni mojawapo ya mikataba muhimu ya kimataifa inayosimamia na kudhibiti shughuli za kidiplomasia kati ya nchi na serikali zao. Mkataba huu ulipitishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1961 na kuanza kutumika rasmi mwaka 1964. Lengo kuu la mkataba huu ni kuhakikisha utaratibu wa mahusiano …

Soma zaidi »

4R NI UZALENDO 

4R ni falsafa inayochochea mabadiliko chanya kwa kujenga jamii inayoshirikiana, ikijikita katika kujenga nchi yenye amani, utulivu, na maendeleo endelevu. Inahakikisha kuwa kila hatua inayochukuliwa katika maendeleo, utawala, na mabadiliko ya kijamii inazingatia maslahi mapana ya taifa, bila kujali tofauti za kiitikadi, kikabila, au kidini. Hii ni falsafa ya kuimarisha mshikamano …

Soma zaidi »

4R NI HATUA MUHIMU KATIKA KUKUZA SEKTA YA ELIMU NCHINI.

Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama, iliyopo jimbo la Peramiho, imeendelea kuleta maendeleo makubwa kwa wakazi wa eneo hilo na Tanzania kwa ujumla. Ujenzi wa shule hii ulianza mwaka 2020 na hadi sasa ina jumla ya majengo 126, yakiwemo madarasa 34, maabara 4 za sayansi, maktaba, bwalo, na jengo la …

Soma zaidi »

Ni kwa namna gani falsafa ya 4r inalinda utamaduni wetu wa kitanzania 

Falsafa ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, na Rebuilding) inalenga kuimarisha umoja wa kitaifa na kufufua maadili ya kitanzania, ambayo yanajumuisha utamaduni, lugha, na desturi zetu.  Kwa njia ya maridhiano (reconciliation), 4R inasaidia kurejesha mshikamano wa jamii, ikisisitiza mazungumzo na amani.  Uhimilivu (resilience) unahimiza uvumilivu wa jamii yetu kwa kushikilia mila …

Soma zaidi »

NI KWA NAMNA GANI 4R INAGUSA MAENDELEO YA SIASA NCHINI TANZANIA?

 Falsafa ya 4R  inagusa siasa chanya kwa namna inavyoweza kuleta maendeleo, usawa, na utulivu katika jamii. Katika muktadha wa siasa za Tanzania, falsafa hii inashikilia mizizi muhimu ya utamaduni na desturi za taifa, huku ikiwiana na baadhi ya vifungu vya Katiba ya Tanzania. Hii ni kutokana na msingi wake wa kuendeleza ushirikiano …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Maadhimisho hayo yamefanyika Moshi Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba 2024. #KaziIemdelee #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya

Soma zaidi »