#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya
Soma zaidi »“Ni jukumu letu kama taifa kujenga upya mifumo ya kiuchumi na kijamii ili kuhakikisha kuwa tunajenga Tanzania yenye nguvu kwa vizazi vijavyo.” @dr_mpango
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »“Tunapaswa kuepuka migawanyiko na kuchochea maridhiano ya kitaifa ili tuwe na umoja na mshikamano wa kuijenga nchi yetu kwa pamoja. ” @SuluhuSamia
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »“Tusikubali Kuwa Tarumbeta za Watu Wasio Tutakia Mema”
“Tusikubali kuwa tarumbeta za Watu wasio tutakia mema, Maadili Yetu Mazuri Ya Kitanzania Lazima Tuyatunze, Lazima Tuyalinde” Makamu Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania , Mhe . Dkt. Philip Isdor Mpango
Soma zaidi »“Bora uitwe mshamba, lakini usimamie maadili.” Mhe. Dotto Biteko
“Kwa kukuza misingi ya uaminifu, haki, uadilifu, uwajibikaji, umoja wa kijamii, na ustawi endelevu, tutahakikisha kuwa safari ya maendeleo ya Tanzania inabaki imara katika maadili yetu ya thamani.” Mhe. Biteko alihimiza umuhimu wa maadili haya kama msingi wa mustakabali bora wa Tanzania
Soma zaidi »“Lengo la 4R ni kurudisha mshikamano wa kitaifa, kuimarisha uthabiti wa uchumi wetu, kufanya marekebisho katika mifumo na sera, na kujenga upya misingi ya maendeleo endelevu.” @Samiasuluhu
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »SISI NI WATANZANIA
Amani Utulivu, Umoja, Mshikamano, vidumu daima. #SisiNdioWajenziWaTanzsniaYetu#KaziIemdelee#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI WA MKUTANO WA JUKWAA LA USHIRIKIANO FOCAC
Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliohudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mnamo Septemba 5, 2024, jijini Beijing, umeleta fursa muhimu kwa Tanzania kiuchumi na kijamii. Manufaa Kiuchumi: Uwekezaji katika Miundombinu: Kupitia FOCAC, Tanzania imepata fursa ya …
Soma zaidi »Makamu wa Rais katika kilele cha Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 50 ya Kanisa la New Life Outreach iliyofanyika katika kanisa hilo Sakina mkoani Arusha
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa rai kwa viongozi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Ofisi ya Msajili wa Jumuiya, kusimamia kikamilifu Sheria ya Usajili wa Jumuiya pamoja na kanuni zake ili kuhakikisha kuwa Taasisi zinazosajiliwa zikiwemo za kidini …
Soma zaidi »