MIUNDOMBINU

Rais Samia Aongoza Safari ya Kihistoria kwa Treni ya SGR, Akionesha Mafanikio ya Miradi ya Kimkakati

Mnamo tarehe 23 Novemba, 2024, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alifanya safari kwa Treni ya Kisasa ya SGR kutoka Jijini Dar es Salaam hadi Stesheni ya Jakaya Kikwete mkoani Morogoro. Tukio hili linaakisi mafanikio makubwa katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayolenga kuboresha …

Soma zaidi »

Serikali ya Tanzania imewekeza katika miradi mbalimbali ya maji kwa lengo la kufikia upatikanaji wa maji safi na salama kwa asilimia 100 ifikapo mwaka 2030. Hii hapa ni baadhi ya miradi muhimu iliyotekelezwa hadi sasa pamoja na madhumuni na mafanikio yake

Mradi wa Maji wa Ziwa Victoria: Mradi huu unalenga kusambaza maji kutoka Ziwa Victoria hadi mikoa ya Shinyanga, Tabora, na Singida. Umechangia kwa kiasi kikubwa kuongeza upatikanaji wa maji katika maeneo ya mijini na vijijini, ukiwa na uwezo wa kuhudumia maelfu ya wakazi ambao hapo awali walikosa huduma hii muhimu. …

Soma zaidi »

Muonekano wa Daraja la JP. Magufuli linalounganisha eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) lenye urefu wa km 3 pamoja na barabara unganishi zenye urefu wa km 1.66. Mkoani Mwanza tarehe 13 Oktoba, 2024. Ujenzi wa daraja hilo umefikia asilimia 93 nalinatarajiwa kukamilika

Soma zaidi »

Takwimu ChanyA+ za Utekelezaji wa Miradi ya Maji (2020-2024)

Kufikia mwaka 2025, serikali inalenga kuhakikisha asilimia 85 ya wananchi wa vijijini na asilimia 95 ya wananchi wa mijini wanapata huduma za maji safi na salama. Takwimu hizi zinaonyesha maendeleo makubwa katika sekta ya maji Tanzania, huku juhudi zikiendelea kuhakikisha maji safi yanawafikia wananchi wengi zaidi nchini.

Soma zaidi »

Takwimu za Utekelezaji wa Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) Tanzania: 2017 – 2024

Mradi wa Reli ya Kisasa (SGR) nchini Tanzania ulianza kutekelezwa mwaka 2017 ukiwa na lengo la kuboresha usafiri wa reli na kukuza uchumi. Awamu ya kwanza ilianza na ujenzi wa reli kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro (300 km) na ilikamilika mwaka 2022. Awamu ya pili, Morogoro hadi Makutupora (422 …

Soma zaidi »

Hatua Madhubuti za Kuboresha Miundombinu ya Barabara katika Hifadhi ya Serengeti, Kukuza Utalii

TANAPA inastahili pongezi kwa hatua zake za kuboresha barabara za Serengeti kwa ufanisi zaidi, hatua ambazo zinaonyesha kujitolea kwake katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira na maendeleo ya sekta ya utalii. Wadau wa utalii walikuwa na maombi ya muda mrefu kwa serikali kujenga barabara zenye tabaka gumu, ambayo sasa inashughulikiwa kwa …

Soma zaidi »

Je, uboreshaji wa reli ya TAZARA unaleta faida gani kiuchumi kwa Tanzania, Zambia, na China katika usafirishaji, uwekezaji, na ushirikiano wa kibiashara?

https://matokeochanya.blogspot.com/2024/09/uhusiano-imara-wa-kiuchumi-kati-ya.html… #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping pamoja na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakishuhudia uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing

#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi

Soma zaidi »

WATANZANIA WAPONGEZA UBORA WA TRENI YA SGR, MRADI ULIOLETA AJIRA NA KUBORESHWA KWA USAFIRI NCHINI

Wananchi wa Tanzania wameonyesha furaha na shukrani kwa serikali kutokana na ujenzi wa treni ya SGR, mradi ambao umeleta mabadiliko makubwa katika sekta ya usafiri nchini. Treni ya SGR inasifika kwa ubora wake, ikiwa na miundombinu ya kisasa inayorahisisha safari kwa muda mfupi na kwa usalama wa hali ya juu. …

Soma zaidi »