MKOA WA RUVUMA WASHIKA NAFASI NZURI KITAIFA UKUSANYAJI WA MAPATO
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Chritina Mndeme amewapongeza Wakurugenzi watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kusimamia ukusanyaji wa Mapato kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ambapo Halmashauri zote nane zimevuka asilimia 80 na kufanya Mkoa kuwa katika nafasi nzuri Kitaifa. Mndeme pia ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Mkoa wa …
Soma zaidi »MKOA WA RUVUMA WAONGOZA KITAIFA MARA MBILI MFULULIZO KWA UZALISHAJI WA CHAKULA
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Chritina Mndeme amewapongeza wakulima Mkoani Ruvuma kwa kuongoza mara mbili mfululizo kitaifa katika uzalishaji wa mazao ya chakula nchini. Mndeme ametoa pongezi hizo wakati anafungua Kikao cha Kamati ya Ushauri Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea mjini Songea. Akizungumzia muhtasari wa …
Soma zaidi »BARABARA YA MBINGA -MBAMBABAY KUFUNGUA FURSA MPYA ZA UCHUMI RUVUMA
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kukamilika kwa ujenzi wa kiwango cha lami kwa barabara ya Mbinga hadi Mbambabay yenye urefu wa kilometa 66 kunafungua fursa mpya za kiuchumi. Mndeme alikuwa anazungumza wakati anafungua kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Ruvuma kilichofanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya …
Soma zaidi »MAKAA YA MAWE RUVUMA YAINGIZA BILIONI 400 NA KUTOA AJIRA 700
Madini ya makaa ya mawe yanayochimbwa mkoani Ruvuma yameingiza zaidi ya shilingi bilioni 400 na kutengeneza ajira za watanzania zaidi ya 700. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kiasi hicho cha fedha kimepatikana kutokana na mauzo ya madini ya makaa ya mawe zaidi ya tani milioni 3.3 ambayo …
Soma zaidi »