Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake hapa nchini.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA IKULU
VIFAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA, MJINI MAGHARIBI LUMUMBA ZANZIBAR
Ufunguzi rasmi wa vifaa tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 10 Januari, 2024. Ongezeko la vifaa tiba bora na vyakisasa katika Hospitali hii kutachangia Nini? Kuboresha Huduma za Afya Ufunguzi …
Soma zaidi »Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa.
Vifaa tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwagilia mti maji mara baada ya ufunguzi wa Hospitali ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar.
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MJINI MAGHARIBI-ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyopo Lumumba Kisiwani Zanzibar. Rais Dkt. Samia amefungua hospitali hiyo leo tarehe 10 Januari, 2024 ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake Kisiwani humo katika kuelekea Maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar.
RAIS SAMIA AKIFUNGUA JENGO LA KITEGA UCHUMI CHAKE CHAKE, PEMBA
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Chake Chake Kisiwani Pemba mara baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Biashara la Taifa Zanzibar (ZSTC) Karafuu House, Chake Chake Kisiwani Pemba tarehe 09 Januari, 2024.
Soma zaidi »