MAKAMU WA RAIS AWATAKA WAZAZI KUACHA KUWAPA WATOTO POMBE
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, amewaasa wazazi kuacha kuwapa watoto kilevi pindi wanapotoka kwenda katika shughuli zao,amesema hayo mkoani Kigoma akiwa Katika ziara ya kikazi mkoani humo.
Soma zaidi »Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Simiyu yakamilika
Sehemu ya jengo la wagonjwa wa nje (OPD)la hospitali ya rufaa ya mkoa wa Simiyu lililofunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Bariadi Mkoa wa Simiyu.Septemba 8,2018.
Soma zaidi »SPIKA NDUGAI AKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini, Mhe. Ali Davutoglu ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Lengo likiwa ni kuboresha uhusiano kati ya Bunge na Ubalozi huo, pia kujifunza shughuli Mbali mbali zinazofanywa na Bunge la Tanzania.
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKIWA KATIKA ZIARA MKOANI MARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa shilingi milioni moja Nyambura Nyamarasa ambaye alikuwa na kero ya kulishiwa na shamba lake na mfugaji mmoja huko Mugumu Serengeti mkoani Mara.
Soma zaidi »LIVE: Rais Magufuli Akizungumza na Wananchi Barabarani Nyamongo – Tarehe 7 Septemba 2018
#NiSisiSisi Watanzania Tumenufaika na Mkutano Wa FOCAC – Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu – Tarehe 5 Septemba 2018
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Tanzania imepata mafanikio makubwa kutokana na kushiriki kwake katika Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC). Amesema kikao hicho kimekuwa na tija kwa Tanzania kutokana na maeneo ya vipaumbele yaliyojadiliwa katika mkutano huo hususani masuala ya uwekezaji kwenye sekta ya viwanda. …
Soma zaidi »