Katibu wa kikosi kazi cha Taifa cha kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na ujenzi wa mji wa Serikali Mtumba Bwana Meshack Bandawe amekutana na wakurugenzi wa utawala na rasilimali watu wa Wizara zote ili kujadili maandalizi na utekelezaji wa ujenzi wa ofisi za ghorofa za Wizara zitakazojengwa awamu ya pili katika …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2021
NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUHAMASISHA URASIMISHAJI
Sehemu ya Watendaji wa sekta ya ardhi na wawakilishi wa Kampuni za Upangaji na Upimaji wakiwa katika kikao kilichofanyika Chuo cha Mipango jijini Dodoma jana. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka watendaji wa sekta ya ardhi nchini kutumia njia mbalimbali katika kuhamasisha zoezi …
Soma zaidi »TANZANIA NA KENYA ZAKUBALIANA KUONDOA VIKWAZO 30 VYA BIASHARA VISIVYO VYA KIUSHURU, VIKWAZO VINGINE 34 VIPO KWENYE MKAKATI WA UTEKELEZAJI
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (Mb) amewahamasisha wafanyabiashara wa Kitanzania kuendelea kufanya biashara na kwenda kuwekeza nchini Kenya kwa kuzingatia sheria, taratibu na miongozo iliyopo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki na amewataka kuwasiliana na Wizara iwapo kutakuwa na changamoto zozote. Hayo ameyasema katika Mkutano wa tano (5) …
Soma zaidi »MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA JENERALI VENANCE MABEYO ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA- PRETORIA
Na Mwandishi wetu, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo,ametembelea Ubalozi wa Jamhuriya Muungano wa Tanzania nchini Afrika Kusini. Jenerali Mabeyo yupo Nchini Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za kumuaga Mkuu Majeshi wa Afrika Kusini Jenerali SZ Shoki zilizofanyika kitaifa Jana Mjini Pretoria. Kuhudhuria sherehe hizi,ni utaratibu uliowekwa …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AFANYA UTEUZI WA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa baadhi ya Makatibu Tawala wa Mikoa, kuwahamisha baadhi na wengine kuwabakisha katika vituo vyao vya kazi. Pia amefanya uteuzi wa viongozi wakuu wa taasisi kama ifuatavyo; Makatibu Tawala wa Mikoa walioteuliwa. Amemteua Bw. Rodrick Mpogolo kuwa …
Soma zaidi »MAWAZIRI SEKTA YA BIASHARA EAC WAKUBALIANA KUONDOA VIKWAZO VISIVYO VYA KIBIASHARA
Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) la Jumuiya ya Afrika Mashariki lakubaliana kuondoa vikwazo visivyo vya kibiashara na kuimarisha biashara na uwekezaji ndani ya Jumuiya hiyo. Awali akifungua mkutano Jijini Arusha jana Ijumaa, Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya …
Soma zaidi »JKCI YANUNUA MASHINE MBADALA YA MAPAFU NA MOYO
TAASISI Ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI,) imenunua mashine mbadala ya mapafu na moyo (Heart Lung machine,) Itakayotumika wakati wa upasuaji mkubwa wa kusimamisha moyo yenye thamani ya shilingi 383, 596,000.
Soma zaidi »SERIKALI KUJENGA CHUO KIPYA CHA UFUNDI KITAKACHOCHUKUA WANAFUNZI 5,000
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Leonard Akwilapo na Maneja wa Kampuni ya CRJE East Afrika Ltd tawi la Tanzania Xu Cheng wakitia saini mkataba wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Dodoma katika hafla ya utiaji iliyofanyika Jijini Dodoma. Wanaoshuhudia katika picha ni watumishi wa wizara …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: MARA WEKENI MKAKATI WA KUITANGAZA MBUGA YA SERENGETI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Mkoa wa Mara na Watendaji katika Sekta ya Utalii wabadilike na waweke mkakati wa kuitangaza mbuga ya Serengeti ili kuweza kuvutia zaidi watalii na kuitambulisha mbuga hiyo kuwa iko mkoa humo. Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO – ASASI ZA KIRAIA ZISHIRIKI KUHIFADHI MAZINGIRA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akizungumza wakati wa kikao maalumu cha kujadili mchango na majukumu ya Asasi zisizo ya Kiserikali katika Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 27, 2021. Waziri wa Nchi Ofisi …
Soma zaidi »