Maktaba ya Mwaka: 2021

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUTEKELEZA MRADI WA LNG – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kwa dhati kuhakikisha kuwa mradi wa kusindika gesi asilia kuwa kimiminika (LNG) utakaogharimu Dola za Kimarekani bilioni 30 sawa na takriban shilingi trilioni 70, unaanza kazi ili kuleta manufaa kwa wananchi. Majaliwa ameyasema hayo (Jumanne, Oktoba 5, 2021) wakati akizungumza na wananchi katika …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO AFRIKA BADEA.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA) Dkt. Sidi Ould Tah, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 05 Octoba 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza …

Soma zaidi »

DKT. KIJAJI AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI BAADA YA WIKI TATU TANGU KUAPISHWA KWAKE

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akizungumza wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Ashatu Kikaji (kushoto) na wakuu wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo (hawapo pichani) katika ukumbi wa Ofisi za Wizara hiyo zilizopo mji wa Serikali …

Soma zaidi »