BANDARI YA MTWARA KUSAFIRISHA TANI 110,000 ZA MAKAA YA MAWE KWA MWEZI KUPELEKA ASIA NA ULAYA

 Chama cha uchimbaji madini cha Bonde la Ufa kwa kushirikiana na wawekezaji kutoka Afrika Kusini na Uingereza wanatazamiwa kutumia Bandari ya Mtwara kusafirisha tani 110,000 za makaa ya mawe kwa mwezi katika bara la Asia naduniani kote

Mkurugenzi wa Jumuiya hiyo, FahadMkaandamu alibainisha hayo hivi karibuni, na kusema kuwa chama hicho kiko katika majadiliano ya mwisho na uongozi wa Bandari ya Mtwara kuhusu kutumia bandari hiyo yenye kina kirefu zaidi kusafirisha bidhaa zao nje ya nchi.



Ad

Unaweza kuangalia pia

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI, MEI MOSI

Tunawatakia Watanzania wote Heri ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi! Ni siku muhimu ya kuenzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *