WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

PROFESA MCHOME AITAKA TUMESHERIA KUFANYA TATHMINI YA SHERIA KUELEKEA UCHUMI WA JUU

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Profesa Sufini Mchome ameitaka Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (TUMESHERIA) kuangalia mifumo na sheria itakayoiwezesha Tanzania kuelekea uchumi wa juu kutoka katika nchi za uchumi wa kipato cha kati uliopo sasa. Akizungumza wakati wakifungua mkutano wa 15 wa Baraza la Wafanyakzi la Tume …

Soma zaidi »

SHERIA, MWENENDO WA MASHAURI NA HUKUMU ZIANDIKWE KWA LUGHA YA KISWAHILI – DKT MWIGULU NCHEMBA

Waziri wa katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza na Menejimenti ya Taasisi ya mafunzo ya uanasheria kwa vitendo Tanzania (Law School of Tanzania) wakati akiwa katika siku ya pili ya ziara ya kikazi Jijini Dar es salaam tarehe 22 Disemba 2020. Serikali imedhamiria kuwasaidia kwa …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri ili kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga …

Soma zaidi »