CHANGAMOTO BANDARI YA MALINDI INASABABISHWA NA KUWA NA GATI MOJA DOGO LA KUSHUSHIA MIZIGO

Dk. Mwinyi amesema changamoto ya Bandari ya Malindi inasababishwa na jambo moja kuu ambalo ni kuwa na gati moja dogo la kushushia mizigo ambalo linasababisha foleni za meli kushusha hadi siku 7, hata hivyo alieleza kuwa utatuzi wa changamoto hiyo ni kuwa na bandari kubwa zaidi na gati nyingi zenye vifaa vya kisasa hata hivyo Serikali imechukua hatua ya kuagiza zana mpya ambazo tayari zimeanza kutumika ili kupunguza muda wa ushushaji mizigo bandarini.

Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.‪@samiasuluhu99‬

Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *