#DP#Bandari #Bandari ya Dar es Salaam na Kampuni ya #DP-World
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2023
TANZANIA KINARA MASUALA YA MAAFA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imekuwa nchi ya kwanza kusaini mkataba wa kuanzisha Kituo cha Huduma za Binadamu na Operesheni za Dharura cha Kanda ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). “Lengo la kuanzisha kituo hicho ni kusimamia utoaji wa huduma na misaada ya kibinadamu kwa nchi wanachama. …
Soma zaidi »CHANGAMOTO BANDARI YA MALINDI INASABABISHWA NA KUWA NA GATI MOJA DOGO LA KUSHUSHIA MIZIGO
Dk. Mwinyi amesema changamoto ya Bandari ya Malindi inasababishwa na jambo moja kuu ambalo ni kuwa na gati moja dogo la kushushia mizigo ambalo linasababisha foleni za meli kushusha hadi siku 7, hata hivyo alieleza kuwa utatuzi wa changamoto hiyo ni kuwa na bandari kubwa zaidi na gati nyingi zenye …
Soma zaidi »RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA 36 WA UMOJA WA AFRIKA AU,ADDIS ABABA NCHINI ETHIOPIA
18 FEB 2023 MAKABIDHIANO YA UENYEKITI WA AU
Rais wa Comoro, Azali Assoumani, alichukua nafasi ya uenyekiti wa Umoja wa Afrika kutoka kwa Rais wa Senegal Macky Sall kama urais wa zamu wa umoja huo. “Shirika letu limethibitisha kwa ulimwengu imani yake kwamba nchi zote zina haki sawa,” amesema Rais Azali.
Soma zaidi »