Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Viongozi mbalimbali na wananchi katika Tamasha la Burudani na Urushaji wa Fashifash viwanja vya Maisara Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 11 Januari 2024.
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: January 2024
Heri ya Sikukuu ya Mapinduzi! Tuungane pamoja kusherehekea siku hii muhimu na kujenga umoja wetu.
Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mnamo tarehe 12 Januari 1964, na yalikuwa harakati za kijamii na kisiasa zilizosababisha kubadilika kwa mfumo wa utawala.
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Hassan akivalishwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake hapa nchini.
Mhe Kassim Majaliwa Akiweka Jiwe La Msingi La Hospitali Kaskazini Unguja
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2024 ameweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini “B”- Pangatupu, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ujenzi wake umegharimu Tsh Bil. 6.7. Hii ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Soma zaidi »Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa Paul Christian Makonda, Ikulu Zanzibar.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA IKULU
VIFAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA, MJINI MAGHARIBI LUMUMBA ZANZIBAR
Ufunguzi rasmi wa vifaa tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 10 Januari, 2024. Ongezeko la vifaa tiba bora na vyakisasa katika Hospitali hii kutachangia Nini? Kuboresha Huduma za Afya Ufunguzi …
Soma zaidi »