“Uchafuzi wa mazingira katika Majiji, Miji na Halmashauri bado ni tatizo”

Makamu wa Rais ametoa maagizo wakati akifungua Kongamano la Wadau wa Mazingira lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam.

Amesema uchafuzi wa mazingira katika Majiji, Miji na Halmashauri bado ni tatizo huku uharibifu wa misitu ukiendelea kuwa changamoto licha ya kuwepo kwa vyombo vya kuishauri Serikali juu ya masuala ya utunzaji wa misitu na mazingira pamoja na kuwepo kwa Sheria ndogo katika ngazi ya Serikali za mitaa. #NEMC #Katibanasheria #Ikulu #KaziIendelee #SSH #CCM #Nchiyangukwanza #Ikulu #CCM #SSH

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

AMKA TANZANIA, KAZI NI MAENDELEO, TUIJENGE NCHI YETU.

SIO NDOTO TENA!! TUKIISHI FALSAFA YA 4R YA RAIS DKT SAMIA TUTAJENGA TAIFA IMARA NA …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *