Maktaba ya Mwezi: September 2024

“Ni kwa namna gani ujenzi wa shule umechangia kuboresha mazingira ya elimu na kukuza vipaji?

“Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwa serikali yetu chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na Mheshimiwa Mbunge Jenista Mhagama kwa jitihada kubwa walizoweka katika ujenzi wa shule yetu. Ujenzi huu umekuwa neema kwa sisi wanafunzi, kwani umeboresha mazingira yetu ya kujifunza. Tunajivunia pia kushirikishwa katika Tamasha la Utamaduni …

Soma zaidi »

SHULE YA SEKONDARI YA JANISTA MHAGAMA ILIYOPO JIMBO LA PERAMIHO NI MOJA YA TAASISI ZA ELIMU ZILIZOJENGWA ILI KUBORESHA ELIMU PERAMIHO.

Imepewa jina la Janista Mhagama, mwanasiasa na kiongozi wa Tanzania, ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana, na Watu Wenye Ulemavu, na pia Mbunge wa Jimbo la Peramiho. Shule hii ni sehemu ya jitihada za Mbunge Jenista Mhagama katika kuhakikisha kwamba elimu inapatikana kwa urahisi …

Soma zaidi »

Historia ya Chifu Nkosi Mharule Zulu Gama na Mchango wake kwa Maendeleo ya Wangoni, Ruvuma, na Tanzania

Katika historia ya Tanzania, jina la Chifu Nkosi Mharule Zulu Gama lina nafasi ya kipekee, si tu kwa sababu ya uongozi wake wa kidesturi lakini pia kutokana na athari zake kwa jamii ya Wangoni na urithi wa kitamaduni katika mkoa wa Ruvuma. Chifu Nkosi Mharule, aliyekuwa mmoja wa viongozi wa …

Soma zaidi »

Mbunge Mstaafu wa Ngorongoro Ahamia Msomela, Afurahishwa na Mazingira Rafiki Kwa Ufugaji na Kilimo..

Uamuzi wa Mbunge Mstaafu kuhamia Msomela unatokana na kutafuta fursa bora zaidi kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi, ambapo mazingira ya eneo hilo yanampa nafasi nzuri ya kuendesha shughuli zake za kilimo na ufugaji kwa mafanikio zaidi. Pia, inaonesha mabadiliko yanayotokea katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, ambapo watu …

Soma zaidi »