Maktaba ya Kila Siku: September 6, 2024

DKT. TULIA ASISITIZA UMUHIMU WA USALAMA DUNIANI NA MAENDELEO YA PAMOJA

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa upo umuhimu mkubwa wa nchi mbalimbali hususani zile zinazounda Umoja wa G7 kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika kutafuta usalama duniani na maendeleo ya pamoja na kwamba …

Soma zaidi »

Bandari Yetu, Maendeleo Yetu

Kati ya mwaka 2021 hadi 2023, bandari za Tanzania zimeonyesha mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato na utoaji wa huduma. Kwa mfano, Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni mojawapo ya bandari kuu nchini, ilihudumia tani milioni 12.05 za mizigo kati ya Julai na Desemba 2023, ikivuka lengo la tani …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China

Makampuni hayo ni, Academy of Space Corporation (CASC), China Electronics Corporation, Transsion Group, Weihua Group, China Railway Construction Corporation (CRCC) pamoja na Acme Consultant Engineers PTE Limited na CND jijini Beijing, China tarehe 06 Septemba, 2024. Mhe. Rais yupo nchini China kwenye ziara ya kikazi ambapo alishiriki kwenye Mkutano wa …

Soma zaidi »