Mlele Yafaidika na Ziara ya Rais Dkt. Samia, Kwa Kuunganishwa Na Umeme Kutoka gridi ya Taifa, …

Ziara ya Mhe Rais , Imekuwa ziara ya Mafanikio Makubwa kwa Mkoa wa Katavi, Hasa kwenye Maswala ya Utekelezaji na usambazi wa umeme kutoka gridi ya Taifa, Maswala ya Ardhi na Juhudi Kubwa ya Serikali Katika Sekta ya Ujenzi hasa Ujenzi wa Barabara.Ziara ya Mhe Rais , Imekuwa ziara ya Mafanikio Makubwa kwa Mkoa wa Katavi, Hasa kwenye Maswala ya Utekelezaji na usambazi wa umeme kutoka gridi ya Taifa, Maswala ya Ardhi na Juhudi Kubwa ya Serikali Katika Sekta ya Ujenzi hasa Ujenzi wa Barabara.
Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tusikubali Kuwa Tarumbeta za Watu Wasio Tutakia Mema”

“Tusikubali kuwa tarumbeta za Watu wasio tutakia mema, Maadili Yetu Mazuri Ya Kitanzania Lazima Tuyatunze, …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *