“MKAWE WAADILIFU NA MKISHI KIAPO HIKI, KINA MAANA KUBWA SANA KATI YENU NA MUNGU NA WANANCHI.”

KIAPO;

Ukila KIAPO…

Ad

1. MUNGU ANAKUSHUHUDIA!

2. MAMLAKA ZINAKISHUHUDIA!

3. WANANCHI WANAKUSHUHUDIA!

4. KIAPO UKIKIDHIHAKI, KITAKUPIGA!

🇹🇿Rais Dkt Samia akiwaasa viongozi kuhusu KIAPO walichoapa mbele yake.

Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.‪@samiasuluhu99‬

Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *