Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameondoka Zanzibar na kuelekea Dodoma leo

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Makamu wa Pili wa Rais, Mhe. Hemed Suleiman Abdallah, ameongoza Watendaji Wakuu wa Serikali kumuaga Rais Dk. Mwinyi.

Akiwa Mjini Dodoma, Rais Mwinyi anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano wa Baraza Kuu la Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Chuo cha Biblia Miyuji, Dodoma.

Ad
Ad

Unaweza kuangalia pia

“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.‪@samiasuluhu99‬

Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *