Na Mwamvua Mwinyi, BagamoyoWakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) na Dawasa wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wamedhamiria kumaliza kero ya maji kwa wakazi wilaya Bagamoyo , pamoja na Mji wa Vikawe uliopo Kibaha Mji.Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa Ruwasa wilayani humo Mhandisi James Kionaumela na …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
DKT. CHAULA AFUNGUA MAFUNZO YA KUBAINI NA KUANDAA REJISTA YA VIHATARISHI VYA SEKTA YA MAWASILIANO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt. Zainab Chaula (aliyekaa mwenye kilemba) akizungumza na menejimenti pamoja na wataalamu wa Sekta hiyo, wakati wa kufungua mafunzo ya kuandaa rejista ya vihatarishi (Risk Register) vya Sekta hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma Katibu …
Soma zaidi »BODI YA USHAURI NFRA YARIDHISHWA NA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula-NFRA wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri Mhandisi Eustance kukagua hatua zilizofikiwa za ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa katika eneo la Maisaka Mjini Babati katika Mkoa wa Manyara, tarehe 25 Novemba 2020. Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa …
Soma zaidi »WIZARA YA ARDHI YAANZA UPIMAJI NA UMILIKISHAJI VITONGOJI 14 KATA YA CHAMWINO DODOMA
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza zoezi la kupanga, kupima na kumilikisha ardhi katika vitongoji 14 vilivyopo katika kata ya Chamwino mkoani Dodoma. Zoezi hilo limeanza rasmi tarehe 24 Novemba 2020 kwa timu kutoka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi …
Soma zaidi »DKT. MPANGO AWAASA MADIWANI NCHINI KUSIMAMIA VIZURI MATUMIZI YA FEDHA ZA MIRADI
Na Benny Mwaipaja, Kigoma WAZIRI wa Fedha na Mipango, ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameyaagiza mabaraza ya Madiwani kote nchini, kuhakikisha kuwa fedha za miradi zinazotumwa na Serikali katika maeneo yao zinasimamiwa vizuri ili kuleta tija na maendeleo ya jamii Dkt. …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA SADC WA ORGAN TROIKA
Na Nelson Kessy, Gaborone-Botswana Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan anatarajia kumwakilisha Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwenye Mkutano wa dharura wa pamoja baina ya SADC Organ Troika (Botswana, Malawi na Zimbabwe), na nchi zinazochangia Vikosi vya ulinzi na amani vya Umoja …
Soma zaidi »KITUO KIKUU KIPYA CHA MABASI YAENDAYO MIKOANI NA NCHI JIRANI CHA MBEZI LUIS JIJINI DAR ES SALAAM KIMEFANYIWA MAJARIBIO
Baadhi ya mabasi ya abiria yakiwa yamepaki katika kituo kipya cha mabasi cha Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam ambapo kituo hicho kimefanyiwa majaribio Baadhi ya mabasi ya abiria yakiwa yamepaki katika kituo kipya cha mabasi cha Mbezi Luis jijini Dar Es Salaam ambapo kituo hicho kimefanyiwa majaribio Baadhi ya …
Soma zaidi »RC KUNENGE AWAHAKIKISHIA WANANCHI WA KIFURU, CHANIKA NA GONGOLAMBOTO KUANZA KUPATA MAJI SAFI IFIKAPO DISEMBA 31 BAADA YA UJENZI WA TANK LA LITA MILIONI MBILI KUKAMILIKA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewahakikishia wakazi wa Kifuru na Chanika kuanza kupata huduma Bora za Maji safi ifikapo Disemba 31 ikiwa ni utekelezaji wa agizo na ahadi aliyotoa Rais Dkt. John Magufuli kwa Wananchi wakati wa mkutano wa kampeni Jijini humo.RC Kunenge akiambatana na …
Soma zaidi »KUELEKEA MPANGO MKAKATI WA 5 WA SEKTA YA AFYA, SERIKALI YAJIDHATITI KUSOGEZA ZAIDI HUDUMA KWA WANANCHI
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi akimkaribisha mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Mabula Mchembe (hayupo kwenye picha) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 21 wa Kitaalam wa tathmini ya utekelezaji katika Sekta ya Afya uliohudhuriwa na Wadau wa Sekta ya Afya nchini, Jijini Dodoma. Serikali, kupitia …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WENYEVITI 3, MZUMBE UNIVERSITY, MUHAS NA UDOM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi 3 kama ifuatavyo; Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe. Dkt. Shein anachukua nafasi ya Jaji Mstaafu Barnabas A. Samatta ambaye anamaliza …
Soma zaidi »