Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa upo umuhimu mkubwa wa nchi mbalimbali hususani zile zinazounda Umoja wa G7 kuendelea kuimarisha ushirikiano wa kimataifa katika kutafuta usalama duniani na maendeleo ya pamoja na kwamba …
Soma zaidi »MatokeoChanya
Bandari Yetu, Maendeleo Yetu
Kati ya mwaka 2021 hadi 2023, bandari za Tanzania zimeonyesha mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato na utoaji wa huduma. Kwa mfano, Bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni mojawapo ya bandari kuu nchini, ilihudumia tani milioni 12.05 za mizigo kati ya Julai na Desemba 2023, ikivuka lengo la tani …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Wawekezaji na Viongozi wa Makampuni mbalimbali ya China
Makampuni hayo ni, Academy of Space Corporation (CASC), China Electronics Corporation, Transsion Group, Weihua Group, China Railway Construction Corporation (CRCC) pamoja na Acme Consultant Engineers PTE Limited na CND jijini Beijing, China tarehe 06 Septemba, 2024. Mhe. Rais yupo nchini China kwenye ziara ya kikazi ambapo alishiriki kwenye Mkutano wa …
Soma zaidi »Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa taarifa kwa Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii kuhusu mwenendo wa ulipaji mafao kwa wastaafu, Bungeni Jijini Dodoma
Uzinduzi wa mifumo ya kidijitali una mchango gani katika uimarishaji wa utawala bora?
Serikali imezindua rasmi mifumo ya kidijitali kwenye taasisi za umma ili kuboresha utoaji wa huduma kwa wananchi, kuongeza ufanisi, na kupunguza urasimu. Hatua hii inachukuliwa kama sehemu ya jitihada za serikali za kuendana na maendeleo ya kiteknolojia na kuweka mazingira bora ya utawala wa kisasa. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, aliongoza …
Soma zaidi »Hatua Madhubuti za Kuboresha Miundombinu ya Barabara katika Hifadhi ya Serengeti, Kukuza Utalii
TANAPA inastahili pongezi kwa hatua zake za kuboresha barabara za Serengeti kwa ufanisi zaidi, hatua ambazo zinaonyesha kujitolea kwake katika kuhakikisha utunzaji wa mazingira na maendeleo ya sekta ya utalii. Wadau wa utalii walikuwa na maombi ya muda mrefu kwa serikali kujenga barabara zenye tabaka gumu, ambayo sasa inashughulikiwa kwa …
Soma zaidi »Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewasili Verona, nchini Italia ambako anatarajia kushiriki katika Mkutano wa 22 wa Maspika wa Mabunge ya nchi za G7
Mkutano huo unaotarajiwa kufanyika nchini humo kuanzia tarehe 5 hadi 8 Septemba, 2024. Mhe. Dkt. Tulia ataiwakilisha IPU katika Mkutano huo ambapo ujumbe mkuu atakaouwasilisha ni umuhimu wa ushirikiano wa Kimataifa miongoni mwa nchi zote duniani katika kutekeleza na kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu kwa pamoja.
Soma zaidi »Mradi wa Magari ya Mwendo Kasi, Kuboresha Usafiri, Uchumi, na Mazingira Tanzania
Mradi wa magari ya mwendo kasi nchini Tanzania umekuwa na faida nyingi za kijamii, kiuchumi, na kimazingira. Kupitia maboresho ya usafiri wa umma, wananchi wameweza kusafiri kwa haraka zaidi, kwa gharama nafuu, huku wakichangia katika ukuaji wa uchumi wa taifa. Mradi huu umeboresha hali ya maisha ya watu kwa njia …
Soma zaidi »Uhusiano Imara wa Kiuchumi kati ya Tanzania na China, Miradi ya Reli ya TAZARA na Uwekezaji Upya Yanaleta Maendeleo Makubwa
Mahusiano kati ya Tanzania na China yana historia ndefu na yenye matokeo chanya. Tangu uhuru wa Tanzania, China imekuwa mshirika muhimu wa maendeleo, hasa katika sekta za miundombinu, viwanda, na elimu. Ushirikiano wao uliimarishwa kwa njia ya miradi mikubwa kama ujenzi wa reli ya TAZARA (Tanzania-Zambia Railway Authority) katika miaka …
Soma zaidi »Maendeleo ya taifa hayaji kwa kubahatisha, bali kwa juhudi na kazi ya kila mmoja
Kwa kujituma, tunajenga jamii yenye uchumi imara, maadili bora, na kizazi chenye uwezo wa kubeba taifa letu kwa miaka ijayo. Kazi ndio msingi wa taifa lenye mafanikio, na kila Mtanzania ana jukumu la kuhakikisha anashiriki kikamilifu katika safari hii ya kujenga Tanzania yenye ustawi na nguvu. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee …
Soma zaidi »