Sekta ya madini inachangia kwa kiasi kikubwa katika Pato la Taifa (GDP) la Tanzania. Mchango wa sekta hii umeongezeka kutoka asilimia 4.8 ya GDP mwaka 2016 hadi kufikia takriban asilimia 7.3 mwaka 2023-2024. Serikali inalenga kuongezeka kwa mchango wa sekta hii kufikia asilimia 10 ya GDP ifikapo mwaka 2025 kutokana …
Soma zaidi »MatokeoChanya
Je! Wajua Mchango wa Madini ya Tanzanite katika Pato la Taifa?
Madini ya Tanzanite, yanayopatikana pekee katika eneo dogo la Mererani, Tanzania, ni miongoni mwa rasilimali muhimu zinazochangia pato la taifa kupitia sekta ya madini. Mnamo mwaka 2024, mchango wa madini ya Tanzanite kwenye pato la taifa umeimarika kutokana na hatua kadhaa za serikali na soko la kimataifa. Sekta ya madini …
Soma zaidi »Takwimu ChanyA+ za Utekelezaji wa Miradi ya Maji (2020-2024)
Kufikia mwaka 2025, serikali inalenga kuhakikisha asilimia 85 ya wananchi wa vijijini na asilimia 95 ya wananchi wa mijini wanapata huduma za maji safi na salama. Takwimu hizi zinaonyesha maendeleo makubwa katika sekta ya maji Tanzania, huku juhudi zikiendelea kuhakikisha maji safi yanawafikia wananchi wengi zaidi nchini.
Soma zaidi »Tanzania yaongeza idadi ya madarasa ya sayansi kufikia zaidi ya 5,000 katika shule za sekondari.
Hii ni sehemu ya juhudi za kuimarisha elimu ya sayansi na kuwahamasisha wanafunzi kujiunga na masomo ya sayansi, teknolojia, uhandisi, na hisabati (STEM). Mpango huu unalenga kuboresha miundombinu ya elimu, hususan kwenye masomo ya sayansi ili kuandaa wataalamu wengi zaidi katika nyanja hizo. Serikali inaendelea na juhudi za kuongeza idadi …
Soma zaidi »Shule za Sekondari
Serikali imeendelea kuongeza idadi ya shule za sekondari za kutwa na bweni. Jumla ya vyumba vya madarasa 8,000 vimejengwa tangu mwaka 2022 ili kupunguza msongamano wa wanafunzi. #NahayaNdiyoMatokeoChanyA+ #KaziIemdelee #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC
Soma zaidi »Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda alipowasili ofisini kwake kwa ajili ya kikao na waandishi wa habari
Katika Uzinduzi Wa Kitabu cha Maisha Na Uongozi Wa Hayati Sokoine
Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi waliohudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kitabu cha Hayati Edward Moringe Sokoine kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 30 Septemba, 2024. #KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC
Soma zaidi »Mama Samia Katika Uzinduzi Wa Kitabu Cha Maisha Na Uongozi Wa Hayati Moringe Sokoine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mtoto wa hayati Edward Moringe Sokoine, Balozi Joseph Edward Sokoine kabla ya kuzindua Kitabu kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) leo tarehe 30 Septemba, 2024. #KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC
Soma zaidi »Mradi wa Maji Same -Mwanga-Korogwe , Sio Ndoto Tena!
Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe umefikia asilimia 95.5 ya utekelezaji wake kufikia August 2024. Mradi huo unatekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 262 na unatarajiwa kuhudumia zaidi ya wakazi 400,000. Kwa Wilaya ya Same, mabomba ya usambazaji maji yamewekwa kwa umbali wa kilomita 17.755, wakati Wilaya ya Mwanga imefikia kilomita …
Soma zaidi »Jukumu Katika Ujenzi wa Taifa Ni La Kila Mtanzania.
Kwa kujenga uchumi, kuendeleza miundombinu, kukuza sekta za kilimo, viwanda, biashara, na kutoa huduma bora za kijamii, kila Mtanzania ana nafasi na wajibu wa kutoa mchango wake. Kwa mfano, wakulima wanapozalisha mazao bora, wanachangia kwenye usalama wa chakula na mapato ya nchi. Wajasiriamali wanapounda biashara na kuzalisha ajira, wanasaidia kupunguza …
Soma zaidi »