CCM

Mojawapo ya nguzo za uimara wa CCM ni pamoja na kazi kubwa sana zilizofanywa na Serikali ya CCM chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan ndani ya miaka hii mitatu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amesema kazi kubwa inayofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk Samia Suluhu Hassan, ndiyo siri na chachu ya chama na viongozi wake katika kuwatumikia wananchi. Balozi Dk Nchimbi ameongeza kusema kuwa katika kutekeleza kwa …

Soma zaidi »

“Uchafuzi wa mazingira katika Majiji, Miji na Halmashauri bado ni tatizo”

Makamu wa Rais ametoa maagizo wakati akifungua Kongamano la Wadau wa Mazingira lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaam. Amesema uchafuzi wa mazingira katika Majiji, Miji na Halmashauri bado ni tatizo huku uharibifu wa misitu ukiendelea kuwa changamoto licha ya kuwepo kwa vyombo vya …

Soma zaidi »

HISTORIA FUPI YA RAIS MSTAAFU WA TANZANIA AWAMU YA PILI, HAYATI MZEE ALI HASSAN MWINYI.

Ali Hassan Mwinyi (8 Mei 1925 – 29 February 2024) alikuwa Rais wa pili wa Tanzania kuanzia mwaka 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni Mwalimu Julius Nyerere, na aliyemfuata ni Benjamin Mkapa. Pia alikuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia mwaka 1990 hadi 1996. Kabla ya hapo alikuwa Rais wa …

Soma zaidi »

FAIDA YA MSINGI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KANUNI YAKE YA 4R KATIKA KUONGOZA NCHI

Kukamilisha mazungumzo ya kuongeza ushiriki wa uwekezaji wa TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay mkoani Mtwara, ili kuongeza hisa na umiliki zaidi wa TPDC kwenye kitalu hicho kutoka 20% za sasa hadi 40%. Kufungua fursa kwa sekta binafsi kupitia Kongamano la Biashara na Uwekezaji kwa lengo la kuvutia uwekezaji …

Soma zaidi »