Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam akitokea Davos nchini Uswisi ambapo alimwakilisha Rais wa JMT Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF).
MatokeoChanya
January 20, 2024
CCM, Makamu wa Rais, Matokeo ChanyA+, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, UCHUMI
132 Imeonekana