CCM

Ziara Ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Kilombero, Morogoro

Wananchi wa Ifakara wajitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Ifakara, wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Ziara hii ilikuwa ni sehemu ya mikutano ya Rais Samia na wananchi, ambapo alifika kuzungumza na wananchi …

Soma zaidi »

Uzinduzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mtibwa, Rais Samia Aimarisha Sekta ya Kilimo na Uzalishaji wa Sukari Nchini

Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, tarehe 03 Agosti, 2024. Uzinduzi …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AZINDUA DARAJA LA BEREGA KILOSA, WANANCHI WAPONGEZA JUHUDI ZA MIUNDOMBINU NA UCHUMI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 02 Agosti 2024, amezindua rasmi Daraja la Berega, Wilayani Kilosa, mkoani Morogoro. Daraja hili, lenye urefu wa mita 150 na upana wa mita 10, limejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 12 na linatarajiwa kurahisisha usafiri na …

Soma zaidi »

WANANCHI WILAYANI KILOSA WAISHUKURU SERIKALI KWA UJENZI WA DARAJA LA BEREGA

Wananchi wa Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, wameonyesha shukrani zao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuzindua Daraja la Berega. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 02 Agosti, 2024, katika ziara ya kikazi ya Rais Samia mkoani Morogoro. Daraja hili muhimu limekuwa ni …

Soma zaidi »

Shukrani za Madeleva Bajaji kwa Rais Samia na Serikali kwa Ujenzi wa Reli ya Kisasa SGR

Morogoro, Tanzania – Madeleva bajaji wa mkoani Morogoro wameeleza shukrani zao za dhati kwa Rais Samia Suluhu Hassan na serikali kwa ujumla kwa juhudi kubwa za ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR. Reli hii, ambayo imekuwa mojawapo ya miradi mikubwa ya maendeleo nchini, imeleta manufaa mengi kwa wananchi na …

Soma zaidi »

Mtalii Raia wa Sweden Avutiwa na Ubora wa Treni ya Kisasa ya SGR Nchini Tanzania

“Ni treni ya kisasa kabisa na tunajisikia vizuri (‘comfortable’) kutumia aina hii ya usafiri. Ina mwendo wa kasi iko ‘comfortable’ na ina huduma nzuri wakati wa safari. Kitu kizuri na cha kufurahisha zaidi, ni treni nzuri zaidi kuzidi hata zile za kwetu nyumbani Ulaya ( Sweden) treni hii ni nzuri …

Soma zaidi »

WANANCHI WA MOROGORO WAPONGEZA MAENDELEO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Wananchi wa Mkoa wa Morogoro wamepongeza juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo makubwa katika mkoa wao. Wamesema kuwa ujenzi wa treni ya kisasa (SGR) umeleta matumaini mapya ya ukuaji wa uchumi na urahisi wa usafiri. Aidha, wamefurahia kujengwa kwa hospitali za kisasa ambazo zimeboresha huduma za afya, …

Soma zaidi »

WANANCHI WA MOROGORO WAFURAHIA MAENDELEO YA MRADI WA TRENI YA SGR

Wananchi wa Mkoa wa Morogoro wameelezea furaha yao kuhusu maendeleo ya mradi wa treni ya kisasa (SGR). Wamesifu jitihada za serikali katika kutekeleza mradi huo, ambao utafungua fursa nyingi za kiuchumi na kijamii katika mkoa wao na nchi kwa ujumla. Wameeleza kuwa treni ya SGR itarahisisha usafiri wa abiria na …

Soma zaidi »