Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, akiongoza Kikao cha Mashauriano cha Vyama vya Siasa Wanachama wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ambacho, mbali ya viongozi wa vyama hivyo, pia kilihudhuriwa na mawaziri na manaibu waziri wakiwakilisha upande wa Serikali. Baadhi ya viongozi wakuu wa vyama hivyo walioshiriki …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar wakati akitokea Harare nchini Zimbabwe
Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya hiyo (SADC-Organ Troika)
Soma zaidi »Rais Samia, Rais aliyeleta mageuzi
Mageuzi yana nafasi muhimu katika kuboresha mifumo ya kiutawala, kiuchumi, na kijamii, kama inavyotamkwa katika Katiba ya Tanzania. Katiba inaelekeza kwamba serikali ina wajibu wa kuhakikisha kuwa rasilimali za taifa zinatumiwa kwa manufaa ya Watanzania wote na kwamba kuna uwazi na uwajibikaji katika utendaji wa shughuli za serikali. Rais Samia …
Soma zaidi »Rais Samia, Rais Wa Maridhiano
Maridhiano ni mojawapo ya nguzo kuu za demokrasia ambayo imeainishwa katika Katiba ya Tanzania, hususan kwa kuhakikisha kuwa haki na uhuru wa kila raia vinaheshimiwa (Sehemu ya Tatu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977). Rais Samia, kupitia sera ya maridhiano, anajenga msingi wa umoja wa kitaifa kwa …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye viwanja vya Ikulu kwa ajili ya kuzungumza na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali nchini, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma
Falsafa hizi nne (4R) zinalenga kuimarisha umoja, kuleta ustawi na maendeleo ya kudumu kwa taifa, na kuhakikisha kuwa serikali inawajibika kwa wananchi wake
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza kwamba viongozi wanapaswa kutumia falsafa ya 4R kuongoza jamii zao licha ya tofauti zao za kisiasa, kiimani, na itikadi.
Hii ni njia ya kuhakikisha umoja, uvumilivu, maendeleo, na ustawi kwa jamii nzima. Kila kiongozi anapaswa kujitahidi kuhakikisha falsafa hizi zinatumika katika kazi zao za kila siku ili kufikia malengo ya pamoja na kuleta manufaa kwa jamii nzima. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #NEMC …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KUZINDUA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMUA LA WAPIGA KURA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2024 anazindua uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, katika uwanja wa Kawawa, mkoani Kigoma. Uzinduzi huo unaashiria kuanza kwa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura nchini nzima. Mikoa ambayo inaanza uboreshaji wa daftari hilo leo Julai 20, 2024 hadi …
Soma zaidi »UONGOZI WA MAARIFA, HEKIMA, NA UFAHAMU KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Rais Samia Suluhu Hassan ametumia maarifa (knowledge), hekima (wisdom), na ufahamu (understanding) kwa njia bora katika uongozi wake wa Tanzania, akileta mabadiliko chanya na maendeleo endelevu. 1. Maarifa (Knowledge) Rais Samia ameonyesha matumizi bora ya maarifa kwa njia mbalimbali: Kujenga Uchumi Kupitia sera na mipango thabiti, Rais Samia ametumia maarifa …
Soma zaidi »ZIARA YA RAIS DKT. SAMIA , YALETA TABASAMU JIPYA MLELE MKOANI KATAVI…
Ziara ya Mhe Rais , Imekuwa ziara ya Mafanikio Makubwa kwa Mkoa wa Katavi, Hasa kwenye Maswala ya Utekelezaji na usambazi wa umeme kutoka gridi ya Taifa, Maswala ya Ardhi na Juhudi Kubwa ya Serikali Katika Sekta ya Ujenzi hasa Ujenzi wa Barabara.
Soma zaidi »