Demokrasia

 JE, KATIKA MUKTADHA WA KATIBA YA TANZANIA, NI VIPI TUNU KUU ZA HAKI, USAWA, UMOJA, NA MAENDELEO ZINAVYOWEZA KUCHANGIA KATIKA KUJENGA JAMII YENYE USTAWI KWA WANANCHI WOTE?

Katiba ya Tanzania inajenga msingi imara wa tunu kuu za taifa ambazo zinafafanua misingi ya haki, usawa, umoja, na maendeleo ya wananchi wote.   Uhuru na Haki Katiba inatambua haki za msingi za kila Mtanzania, ikiwa ni pamoja na uhuru wa kujieleza (Ibara ya 18), uhuru wa kujumuika (Ibara ya 20), …

Soma zaidi »

UTU NA UWAJIBIKAJI, NGUZO MUHIMU ZA MAENDELEO YA TAIFA

“Utu wetu ni msingi wa amani na maendeleo.” Hii ni sahihi kwani utu unahusisha heshima kwa maisha ya binadamu, haki zao, na utambuzi wa thamani yao. Bila utu, amani na maendeleo havina msingi imara. Jamii yenye watu wanaothaminiana na kuheshimiana itakuwa na uwezo mkubwa wa kushirikiana kwa ajili ya maendeleo …

Soma zaidi »

Baraza la Vyama vya Siasa Latangaza Mkakati Mpya wa Kuongeza Ufanisi na Kuimarisha Demokrasia Tanzania

Baraza la Vyama vya Siasa limetoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuimarisha demokrasia kwa kuboresha Baraza lenyewe. Pongezi hizi zimetolewa na Salum Mwalimu, ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, akionyesha shukrani kwa kazi iliyofanywa na Kamati ya Uongozi katika kuongeza ufanisi wa Baraza, kufanikisha …

Soma zaidi »

FAIDA YA MSINGI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KANUNI YAKE YA 4R KATIKA KUONGOZA NCHI

Kukamilisha mazungumzo ya kuongeza ushiriki wa uwekezaji wa TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay mkoani Mtwara, ili kuongeza hisa na umiliki zaidi wa TPDC kwenye kitalu hicho kutoka 20% za sasa hadi 40%. Kufungua fursa kwa sekta binafsi kupitia Kongamano la Biashara na Uwekezaji kwa lengo la kuvutia uwekezaji …

Soma zaidi »